Duration 16:3

Nitawashangaa wanaomshangaa Waziri Mwijage - Lema

54 203 watched
0
193
Published 30 May 2017

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema 'CHADEMA', leo May 30, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuchangia Mapendekezo katika Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango ambapo alisema Serikali imeshindwa kutoa tafsiri sahihi ya Tanzania ya Viwanda.

Category

Show more

Comments - 26