Duration 5:13

Magoli | Yanga 2-1 Biashara United | NBC Premier League

310 258 watched
0
1.5 K
Published 26 Dec 2021

Yanga SC imepata pointi tatu muhimu kwa kuichapa Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Tikitaka ya Fiston Mayele na penati ya Saidi Ntibazonkiza ndizo zilizoipa Yanga mabao hayo baada ya Biashara kutangulia kwa goli la Atupele Green.

Category

Show more

Comments - 247