Duration 10:00

MAWIFI WAMUOZESHA MKE WA KAKA YAO KWA MWANAUME MWINGINE/BI HARUSI N WAPAMBE NDANI YA BAJAJI

100 881 watched
0
722
Published 12 Sep 2021

Ni ndani ya Kijiweongwa hiyo ndipo jambo hili limefanyika ambapo Mawifi wamesimamia harusi ya mke wa kaka yao akiolewa na mwanaume mwingine,Wanasema kaka yao amekuwa akimuacha kewe na kuondoka hivo Wifi yao baada ya kupata mwanaume mwingine Mawifi kwao wakaona ni sawasa na hivi ndivyo ilivykuwa kwenye sherehe hiyo ambayo bi Harusi alipandishwa kwenye bajaji #Kijiwenongwa #geahhabibu #GeahTv

Category

Show more

Comments - 508