Duration 15:5

AZIZ KI NI MCHEZAJI MKUBWA/AZAM WANAKAMIA/NINI KIMEMKUTA NGUSHI/KRAMO, CHE MALONE WANAJUA BOLI

14 249 watched
0
146
Published 9 Aug 2023

Leo August 9 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya nusu fainali ya kwanza ya ngao ya jamii 2023 kati ya Yanga SC na Azam FC,Saa moja Usiku. Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.

Category

Show more

Comments - 13