Duration 6:33

WAZIRI JAFO KIFUA MBELE, JENGO LA BIL 1, LIKO MOJA TU HAPA DODOMA

29 262 watched
0
213
Published 5 Sep 2019

Waziri wa Nchi OR- TAMISEMI amezungumza na Ayo TV kwenye udhubutu ambao ameufanya baada ya kupewa Sh, Bil 1 na Serikali kwa ajili ya kujenga Jengo la Ofisi ya TAMISEMI kwenye eneo maalum lilipotengwa na SERIKALI, ''MJI WA SERIKALI'' ''Niliona mchoro nikabadilisha ramani kutokana na wingi wa wafanyakazi wa watumishi wizara ya TAMISEMI''

Category

Show more

Comments - 65