Duration 12:47

DENIS MPAGAZE-WATUMISHI WA MUNGU MJITATHIMINI

127 043 watched
0
1.2 K
Published 10 Dec 2019

WATUMISHI WA MUNGU MJITATHIMINI

Category

Show more

Tags

Comments - 160
  • @
    @elijahgikuyu94775 years ago Bro you stand for the truth no matter what bigup, am your biggest fun in.
  • @
    @frankanthony85915 years ago Ahsant kaka kama unamkubali gonga like tusonge mbele. 81
  • @
    @luthankings43584 years ago Jamani leo ni sikunjema nadhani yesu ameshakwisha fufuka kama unakubaliana nami usiache ku like. 1
  • @
    @seifkhatib45125 years ago Jamani naomba like japo kidogo kama mnamkubal huyu jamaa km nnavo mkubali mm. 61
  • @
    @joycemalongo90505 years ago The best presenter in tanzania and media presenter, naomba like ya kutosha jamani. 36
  • @
    @hassanovajunior69725 years ago Daah aisee ubinadamu kazi shukran sana genius ananias edgar denis mpagaze may god bless you guys. 24
  • @
    @benjaminmwiti81134 years ago Mungu na akulinde kaka zababu mungu anakutumia kuondoa ujinga kwa wanao kusikia. 1
  • @
    @damariszuckschwert94895 years ago I salute you formaskini in the name of jesus, utafikiri mungu hulipa ushuru mbinguni au pango la kulala. 7
  • @
    @rehemafungo50424 years ago Sio wote waniitao bwana wataurithi ufalme. Thx ananias.
  • @
    @luthankings43584 years ago Kaka kama unajiamini we nimwanaume uxiach ku like. 1
  • @
    @luthankings43584 years ago Ndugu zang ninaiman ya kuwa mungu upo nasi katika pasaka hii. 1
  • @
    @eliphasedward90762 years ago Unajua kunifurahisha ananias edger pongezi kwako.
  • @
    @alexanderbonnysimiyu86355 years ago Si ungwana hata kidogo kutazama na kujifunza kisha uache ku-like ama kucomment. 24
  • @
    @lordreuben57875 years ago Mungu awabariki sana muandaaji na mtangazaji mko vzur mnaitendea haki kipaji ambacho mungu kawapa, na kwa stahili hyo mnatuponya wengi hata bila ya nyie kujua. 1
  • @
    @kaundimemussa11875 years ago Naipenda sana sauti yako nasikilizaga story zako mpaka nalala usingizi. 4
  • @
    @onesmobruno46364 years ago Yani nashindwa hata kufuatilia ishu ya corona19 muda wote ni huyu jamaa napenda sana stor zake zinafundisha vzr. 1
  • @
    @luthankings43584 years ago Maan mvua inanyesha ninaimani ni dalili njema lakini kama na wewe unaamini ni dalili njema uxiache ku like. 1
  • @
    @mathiaszakaria70525 years ago Dahh mungu atupiganie huduma za kiroho zimevamiwa na matapeli wanaojiita wachungaji na manabii.
  • @
    @sethnsohoye12205 years ago Hongera kufanya kazi nzuri, mungu aw naww kila wkt juu ya kazi yako hiyo. 9
  • @
    @brayansteven26845 years ago Very nice asante sana brother kwa mafundisho mazur. 1
  • @
    @BenMula5265 years ago Baba mwisho wa kihama tuta shagaa mungu atusaidie ubarikiwe brother kaka.
  • @
    @mulirohilary2095 years ago Kweli kabisa mpagaze tarsis za dini siku hizi balaa maisha mazuli ni ya waku wadini tuu asante.
  • @
    @grayrichard18155 years ago Mi sitaki like zenu kwan n chakula au n malipo? 3
  • @
    @elibarikielikana18245 years ago Hakika mmmh kweli watumishi tuwe macho nimejifunza kitu kikubwa mno ubarikiwe. 2
  • @
    @jacksonngusi41225 years ago Ahsante sana kaka ujumbe mzuri mno ubarikiwe. 4
  • @
    @richardswai52065 years ago Ivi unajua annanis edga ungekuwa mchungaji au askofu wengi ungewaumbua xana maana xiku hiz makanixa ndy biaxhara. Kama unaamini ivo gonga like. 2
  • @
    @rehemamaduhu56425 years ago Tena hilo la kanisani kama ukiwa na pesa unapokelewa tangu mlangoni na unaoneshwa kiti cha kukaa. Mbele kabisa ila ukiwa kapuku utaachwa utafute kiti kwa akili yako. Ukikosa ukae chini. 5
  • @
    @amosmahona4334 years ago Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni fanani kiukweli uko vizuri sana katika uwasilishaji wa simulizi yako.
  • @
    @onesmobruno46364 years ago Yani naweka kila cku gb3 kwaajili ya huyu jamaa. 2
  • @
    @eliankya19915 years ago Message sent broo thanks for good message. 1
  • @
    @hamzanasry80114 years ago Yani umewachana kweli mwenye maskio ambiwi skia. 1
  • @
    @fadhilikazingo12615 years ago Kaka yangu wa kibondo unanifrahisha sana. 1
  • @
    @johnny.j.nyondo10744 years ago Safira na anania lakini sio mimi hahahahaha. 1
  • @
    @ramaccr75255 years ago Akuna mtangazaji kama ww tanzania nzima. 3
  • @
    @suzybae12375 years ago Kwel jmn napenda sana ujumbe wako mzuli. 1
  • @
    @thadeymallya23825 years ago Apriciate you much bro. You are unique ever! 1
  • @
    @barakajulius59385 years ago Kaka nawewe unastahili kupewa tuzo ya heshima. 5
  • @
    @godfreymagoso53345 years ago Ila waumini tujitafakali tunatumika kweli siku hizi kutokana na stresi zetu, mungu atunusuru. 1
  • @
    @francisjm74164 years ago Napenda sana makara yako hua naelimika sana.
  • @
    @davidmpiluka52245 years ago Hapo sawa. Hakuna ubishi hapo. Anayebisha anyooshe mkono wake ili tuone ana akili ya namna gani? 1
  • @
    @lilianakimaro41855 years ago Mwezi wa 12. 20019
    bad tupo jmn.
    5
  • @
    @ramadhankijana94425 years ago Dah
    kanisa kimbilio la kila mtu.
    mungu awaona.
    4
  • @
    @user-em6bg9ue2d5 years ago Napenda sana habarizako zinamafunzo sana. 2
  • @
    @dudleyjulius91875 years ago Kaka ananias uko poa na mm pia nmtangazaji nataka kufanya kazi uhai media naomba namba zako tuongee plzz. 7
  • @
    @felixwao72744 years ago Bro fungua kanisa mana dah we nizaidi ya wachungaji.
  • @
    @tuntufyekapesa39015 years ago Appreciate you bro.
    ila ishu ya alph lukau i wish uifuatilie ile video full sio clip tu iliyozagaa mitandaon.
    sabab alivofika tu alisema huyu mtu yuko hai na hakusema amemfufua kabisa.
    2
  • @
    @phedriclhusna39495 years ago Ananasi i wish nkuone yan ur voice so sweat. 1
  • @
    @godfreymagoso53345 years ago Sidhani kama watakuelewa zaidi watasema wanapigwa vita, na shetani anainuka ili kushindana na kalama zao, ila wajutafakali japo manyumbu (wagalatia) ni kufuata hata mpagani anaelewa kuliko manyumbu tusiochuja. 1
  • @
    @ndihunzefx_tz11745 years ago Kwa mwenye maradhi ya kisukari nakupitia whatsapp namba 0765871955, kuna uwezekano wa kupona kabisa! Kwa muda wa siku 14 tu! Kwa uwezo wa m. Mungu, wahi sasa nafasi za ofa ni.
  • @
    @cghmarcb65634 years ago Kanisa skuizi ndio headquarters ya wahalifu.
  • @
    @eunicechege4 years ago Walihamisha mji wa serikali nasikia sasa uko dodoma. Naweza pendadiscussion about that. 1
  • @
    @mimiwewe35475 years ago Hahah account yako feki ina followers wengi kuliko yako original. 3