Duration 3200

◾️JULIUS NYERERE HYDROPOWER PROJECT (Bwawa kubwa la Umeme tunaloliita BWAWA LA JULIUS NYERERE.

217 watched
0
0
Published 18 Jul 2020

◾️JULIUS NYERERE HYDROPOWER PROJECT (Bwawa kubwa la Umeme tunaloliita BWAWA LA JULIUS NYERERE ambalo litazalisha umeme MW 2,115. Ujenzi wa njia ya kuchepusha Maji na kingo za mto unaendelea. Mradi huu utagharimu Tsh Trilioni 6.5 na KAZI INAENDELEA! TANZANIA INAZIDI KUFANIKIWA katika vita ya kiuchumi SISI WATANZANIA TUNASONGA MBELE kujenga uchumi imara kwa Taifa.

Category

Show more

Comments - 0