Duration 12:11

TABIA 9 ZA KUACHA ILI UFANIKIWE 2021

104 551 watched
0
3.1 K
Published 27 Dec 2020

Mafanikio yoyote yale katika maisha ni tabia. Jenga tabia sahihi na tayari utakuwa katika safari ya kuyaendea mafanikio yako. Watu wengi hawako tayari kushughulika na tabia zao wenyewe kwahiyo kufanya zoezi la kufanikiwa kuendelea kuwa gumu. Binafsi ninaamini kabisa kwamba kama utaanza mapema kuupanga huo mwaka unaokuja na kujiwekea maazimio machache ambayo yote yawe yanatoa mchango katika mabadiliko ya tabia zako kuwa bora zaidi basi unaweza kuwa katika uwezekano wa kufanikiwa sana. Fuatilia tabia hizi tisa (9) za kuacha ili kufikia mafanikio yako kirahisi kwa mwaka 2021. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . TUFUATE INSTAGRAM: SPN CHANNEL: https://www.instagram.com/successpath_network EZDEN JUMANNE: https://www.instagram.com/ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . #Tabia #Mafanikio #2021

Category

Show more

Comments - 311