Duration 33:8

RAISI SAMIA awajibu kwa Kishindo MAASKOFU Wakatoliki kupitia Risala yao/Afufua matumaini Mapya.

25 411 watched
0
102
Published 25 Jun 2021

Ni kwenye mkutano wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hasan pamoja na Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania ORIGIONAL SOURCE: TUMAINI MEDIA #BreezOnlineTv​ #KmK #Makuburi Breez Online Tv S.L.P 38655 Dar Es Salaam Tanzania Phone No: +255 756494796 Barua pepe: izackbreez11@gmail.com Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: breez online Tv Facebook Link: https://www.facebook.com/Breez-Online .. Instagram:Breez Online Tv

Category

Show more

Comments - 49
  • @
    @benderarulenge88983 years ago Barakoa ni mhimu, jisaidie ndiyo mungukupotosha wananchi ukiacha kuvaa ni wewe usiwasemee wengine. 1
  • @
    @francicbeda56033 years ago Hoongela mungu nawe daimaa sikuzote za maisha na pia kuliongoza taifa letu. 1
  • @
    @thomasbutingo173 years ago Tunakupend xn mama yetu rais wetu mwenyez mungu akulinde akuangazie kila ufanyalo ili utufikishe watanzania mahala pazur naamin ni swala la muda hatuna shaka. 1
  • @
    @bishopkatunzi48923 years ago Amen! Amen hakika wewe ni kiongozi bora mwenye hekima! 3
  • @
    @alicejacob56003 years ago Umesoma vyema mama kinga yetu ni mungu mwenyewe. Hatuna kinga zaidi ya mungu. 2
  • @
    @nobertjoseph52073 years ago Mama kaz nzur lakn mi nakuxhaur usikubar chanjo kwan madhar yake makubwa badae hyo ni biashara za watu wasiopenda wananchi. 1
  • @
    @magrethmallya77283 years ago Tunakupenda sana raisi wetu. Pongezi nyingi kwako mama. Kazi ziendeleee. 2
  • @
    @yohanaosiligimoikan71343 years ago Amani hakuna ndani ya nchi hii sababu ya mikopo yenye kuleta njaa na madawa ya kulevya, na wizi? 1
  • @
    @emanuelipeter29232 years ago Mama mungu akulingmde m
    kwakujua yakwamba yeye ndo kinga yako kutembea pamoja ndo utume mungu alituachia.
    1
  • @
    @emanuelipeter29232 years ago Wengi watakusema kwa mabaya lakini piya kuna mazuri piya wasiseme mabaya tu hakuna mtu asiekua na kosa katika dunia hi.
  • @
    @stephenmwanisenga70683 years ago Mama tusaidie kwenye tahadhali dhidi ya ugonjwa wa korona maana kwa sasa ukiingia ofisi yoyote ya serikali unatakiwa uvae barakoa lakn daladala wanajaza . ...Expand 2
  • @
    @epifaniamilinga28483 years ago Nashukuru umejibu kwa hekima. Shule za dini, gharama zipo juu sana. Wajingadogo mwanafunzihuruma hata kidogo. Kwa maadili Kulikozao, zilikuwa nzuri chini ya wazungu. Mfano hosptali ya ikondawanakimbilia kulikoyupongozimaslahi zaidi. Hivyo rais usiamue kwa haraka. ...Expand 1
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago Yaani sijui tulichelewa wapi kupata rais mwanamke. Yaani mama wewe ndio kila kitu mungu akulinde kwa ajili yetu. 3
  • @
    @zegelibilishanga47613 years ago Kwenye shule kuna ufisadi, mkubwa wasikuingize mkenge,
    kayafanyie kazi, kwa uangalifu mkbws.
    1
  • @
    @ambroschristian41723 years ago Yaone na mibarakoa kama mipepo mnawatia hofu wananchi ili waogope eti kuwa kunakorona mtakufa wenyewe na mibarakoa uongozi sio lelemama subilini. 2
  • @
    @masalumaduhu79683 years ago Jikumbushe hotuba za aliekuwa rais wako, kabla ya kuifufua miradi aliyokuwa ameikataa mfalme wetu, ukiendelea na ushauri wa msoga ccm watakiona cha moto . ...Expand 1