Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri serikali kuimarisha sekta ya utalii nchini ili kurejesha hali ya uchumi kwa kuingiza fedha za kigeni hasa katika kipindi hiki cha janga la corona ambalo limeathiri uchumi katika mataifa mbalimbali duniani.
#BungeniDodoma #KutokaDodoma #BungeLaTanzania
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz