Duration 17:36

SAKATA LA LUKU, LAFIKA KWA WAZIRI MKUU, ABAINI MADUDU, AWASHUKIA VIGOGO WA TANESCO WAKAE PEMBENI.

12 556 watched
0
81
Published 20 May 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dr.Medard Kalemani kusitisha kuwasimamisha kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika. Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo leo alipozungumza na Menejimenti na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Category

Show more

Comments - 36