Duration 3:42

Magumashi ya Dereva Bajaj na Masele Chapombe

210 528 watched
0
584
Published 9 Feb 2017

Global Comedy, vichekesho vya kuvunja mbavu kutoka Global Publishers, vikiongozwa na mchekeshaji Masele Chapombe, cheki hii jinsi dereva magumashi wa Bajaj alivyojaza abiria kibao kwenye Bajaj yake mpaka mwenyewe akakosa sehemu ya kukaa. Wakati abiria wenyewe wakiwa wameridhishwa na hali hiyo, mlevi mmoja anatokea na kuwafungua akili abiria hao ambao wenyewe wala hawakuwa na habari. Japo amelewa, Masele Chapombe anazungumza pointi za msingi sana na linakuwa fundisho kwa wote. Mcheki Masele Chapombe anavyowasanua abiria kweye Bajaj ya dereva magumashi, Global Comedy wanachekesha sana.

Category

Show more

Comments - 17