Duration 10:9

ALIYEKAA JELA MIAKA 43 AKAKATWA MGUU, ASIMULIA MAZITO ALIPOKUWA GEREZANI na MAISHA YAKE SASA

42 369 watched
0
176
Published 25 Oct 2019

ALIYEKAA JELA MIAKA 43 AKAKATWA MGUU, ASIMULIA MAZITO ALIPOKUWA GEREZANI Ni SIMULIZI za wazee wafungwa wa maisha jela walioachiwa huru na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli Desemba 09, 2017, baada ya kukaa jela kwa miaka 43 wakitumikia kifungo cha maisha kutoka kifungo cha kuhukumiwa KUNYONGWA. Baada ya Mzee Aloyce Mwalongo na Mzee Raphael Mlyuka kusimulia ya kwao, leo ni zamu ya Mzee Yohana Chengula kusimulia yaliyomkuta gerezani hata akakatwa mguu..... #Kunyongwa #MzeeAloyceMzeeRaphael#MzeeYohana YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:/playlist?list ... GLOBAL RADIO TV:/playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS:/playlist?li

Category

Show more

Comments - 65
  • @
    @mswanawamswana31295 years ago Magufuli umetumwa na mungu kutetea wanyonge. Umefuta machozi ya huyu mzee chengula.
    nimefarijika sana na kisa hiki. Hawa watu wapo wengi humo magereza. Nyerere na magufuli mmefanya vzr sana.
    11
  • @
    @fatumahassan82125 years ago Pole sana baba yngumungu hutenda miujiza kwa mja wake namna ajuye yeye. 2
  • @
    @youngzhumbe16125 years ago God bless magufuli he is savior of innocent people. Mtetea sauti za wanyonge wishing you long life i know you doing it and you will more en more. 8
  • @
    @renfridaflorence43805 years ago Pole sana baba. Jamani selikari muwe mnaliangalia hili huyu baba kazulumiwa haki zake za msingi jamani. 3