Duration 12:26

MTUME ERICK ASOSISYE AFUNDISHA NAMNA YA KUKUTANA NA BARAKA

168 watched
0
10
Published 23 Aug 2021

Karibu kanisa la Shalom Shalom christian centre kwa ibada nzuri na zenye uwepo wa Mungu, njoo ujifunze pamoja nasi masomo mazuri ya kujenga na kuimarisha imani ndani ya Yesu kristo. MAHALI: njiapanda nunge (kwa mzee Saninga) Kigamboni-Dar es salaam MAWASILIANO: piga au tuma ujumbe 0748440728 WHATSAPP: +25582628884 watu wote mnakaribishwa

Category

Show more

Comments - 0