Duration 8:9

Lema ataka mkutano wa dharura asema Hatuwezi kuendelea hivi

67 528 watched
0
471
Published 2 Nov 2018

Leo November 2, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amezungumza na vyombo vya habari pamoja na mambo mengine ametaka kuitwa kwa Mkutano wa dharura kwa Wabunge wa upinzani nchini kwa lengo la kujadili uhuru wa watu na kutoa maoni.

Category

Show more

Comments - 397