Duration 1:39

Juma Duni anakusihi ukajiandikishe

339 watched
0
3
Published 12 Oct 2019

Je umejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa? Muda umewadia, tutimize yale tunayoyasema ya kuwa tunataka serikali ya wananchi inayotokana na wananchi. Ni muhimu kujiandikisha - ili uweze kupiga kura

Category

Show more

Comments - 1