Duration 27:21

Chumba chini ya bahari - PEMBA

189 150 watched
0
649
Published 17 Sep 2019

Chumba cha chini ya bahari kilichopo PEMBA kimetengenezwa hapa nchini na ni kivutio cha utalii wa kisiwa cha PEMBA na kuifanya Zanzibar kuwa ya kipekee. Tanzania inajivunia. Fuatilia mwanzo mwisho. Kipindi hiki kilirekodiwa na kurushwa TBC 2018.

Category

Show more

Comments - 232