Duration 4:55

PAKA Asiezama MAJINI,Aliezipa BAHATI MELI vitan

152 watched
0
2
Published 9 Oct 2020

Oscar unsinkable waswahili tunaweza muita oscar asiezama huyu ni paka asiliyake ni huko nchini ujerumani na inakadiriwa alikua hai kabla ya miaka ya 1941 akijizolea umaarufu katika vita ya pili ya dunia kati ya miaka 1939-1945 kwa maajabu na mambo ya kustajabisha yaliyokua yakitokea kwa paka huyo. Kwa mara ya kwanza paka huyo aliyekuwa na rangi nyeusi na madoa meupe alikuwa anamilikiwa na mwanajeshi wa Ujerumani aliefahamika kwa jina la Bismarck, na alikuwepo katika meli yakivita ya ujerumani ilipo anza safari za majini mei 18 ya mwaka 1941 wakati meli hiyo ilipo kwenda Rheinübug kwa oparesheni maalumu za kivita. Kwa bahati mbaya wakiwa safarini meli hiyo ilizamishwa mei 27,baada ya vita kali baharini ambapo ni watu 118 walipona kati ya zaidi ya Watu 2200 waliokuwa ndani ya meli hiyo,masaa machache tu baada ya kuzamishwa meli hiyo ya kijerumani Oscar alionekana akielea juu ya ubao hivyi akaokolewa na mwanajeshi wa Uingereza aliefahamika kwa jina Cossack. Cossack hakulijua jina la paka huyo, ndipo hapo wakaanza kumuita Oscar na rasmi kuwa mali ya jeshi la majini la Uingereza,hapo ndipo paka huyo aliqnza kuandika story mpya kama paka aliweza kuama jeshi toka jeshi la kijerumani mpka lile la washirika wamuingereza Oscar aliendelea kumilikiwa na jeshi la majini la Uingereza kwa miezi kadhaa huku akisafiri nao mara kwa mara kupitia usafiri wa maji katika bahari ya mediteranian na atlantic ya kusini huku meli hiyo ikifanya kazi mbali mbali za kijeshi hadi pale Oktoba 27 ya mwaka 1941,siku hiyo ilikua miongoni mwa siku mbaya kwa oscar kwani ni siku ambayo meli aliyokuemo paka huyo katika eneo la Gibraltar wakiwa wanaenda Uingereza ikashambuliwa na kuzamishwa na kombola lilolushwa na jeshi la ujerumani linalofahamika kama Torpedo, ina semekana Zaidi ya wanajeshi 1,000 walifariki na waliopona walikuwa 159 pekee akiwemo Oscar ambaye baadaye alipelekwa katika kambi ya jeshi la Uingereza hukohuko Gibraltar. Oscar sasa akapewa jina la Unsinkable Sam, yaani osca asiyezama. kikosi maarufu cha majini cha Ark Royal cha muingereza kikamchukua oscar na kipindi alipokuemo ndani ya meli hiyo ilinusurika mara kadhaaa kuzamishwa kwenye mapigano makali na meli za kijerumani mpka ilifikia kipindi ikaanza kuitwa meli yenye bahati kwani ilizushiwa mara kadhaaa kuzama, bahati iliwaishia pale siku meli hiyo iliposhambuliwa na kuzama November 14, 1941. Haijulikani meli hii ilibeba wanajeshi wangapi, lakini safari hii ni mwanajeshi mmoja tuu alipona na Oscar pia alipona. Baada ya kuokoloewa oscar akarudishwa Belfast nchini uingereza alikoishi hadi anafariki mwaka 1955 Na hapo ndio mwisho wa story oscar unsikable miongoni mwa paka maarufi duniani kwa maajabh yake anaethibititisha paka anaroho saba kwani alinusurika baharini katika ajali ya meli zaidi ya tatu Usisahau kusubscribe kwenye chanell yetu mpka wasaa mwengne byebye

Category

Show more

Comments - 1