Duration 1:2

Daud Phillipo Sekisago, mpare, Mmisionari aliyetoa maisha yake kwa ajili ya Yesu 1

2 266 watched
0
35
Published 14 Nov 2019

Baba yake ni kati ya wapelekwa wanne (4) waliopeleka injili usukumani Mwaka 1903. missionary Phillipo Sekisago alipofariki watoto wake walirudi upareni. Fukuto la umishenary likamrudisha mtoto wake Daudi, kuendeleza pale baba hakumaliza. Alifanya Umissionary maeneo ya Mwanza, Kisha Shinyanga na Hatimaye Busanda Shinyanga hadi Mauti yake.

Category

Show more

Comments - 11