Duration 6:38

MAPISHI YA KEKI YA BASBOUSA NA CREAM KATI: Njia Ya Kupika Basbousa Kwa Cream Kati. Cream Rava Cake.

1 620 watched
0
53
Published 17 Aug 2020

#jinsiyakupikabasbusa #mapishiyabasbousa #basbusatamu #basbusampya Leo nimewaandalia mapishi tamu ya basbusa ya cream kati tamu sana, usipitwe kwa utamu wake. Mahitaji Ya Basbousa: -Mayai(3) -Sukari (kikombe 3/4) -Vanilla (1 tsp) -siki nyeupe (1 tsp) -Maziwa ya mtindi (1 kikombe) -Mafuta ya Uto (kikombe nusu) -Unga wa suji (vikombe moja na nusu) -Baking powder (kijiko 1) Mahitaji Ya Cream Kati: -Vikombe 21/2 Maziwa -Vijiko 3 kubwa Sukari -Vijiko 3 kubwa Corn Flour -1/2 kikombe Cream Ya Mkebe(Gishta) SHIRA: -Sukari (11/2 kikombe) -Maji kikombe 1 Natumai Mumeipenda Mapishi Tamu Kwa Njia Yangu. KEKI YA TENDE: /watch/kxD3T78ZrRJZ3 BAJIA YA KUKU: /watch/AnvhmT8LQcULh Subscribe Kwa Channel: /channel/UCxueimtYZpzTjE5tRPX3fYg/featured #USISAHAU KILA MTU NI MPISHI. INSTAGRAM: https://www.instagram.com/tamutvtamu FACEBOOK: https://www.facebook.com/matamu.tamu.77 LIKE , SHARE, SUBSCRIBE

Category

Show more

Comments - 10