Katika Video hii, Utafahamu Maana Za Majina. Kila Jina Unalolifahamu hapa duniani lina maana Pamoja na Asili yake. Kabla ya Kutoa Jina fulani, ni muhimu kujua Maana au asili ya jina hilo. Ni vizuri zaidi Iwapo Utachagua Jina lenye maana nzuri.
#Watotowakiume #Majinayakikristo #Quotes24life