Duration 8:57

SEPTEMBA 26: MWEZI WA INJILI NA UMISHENI 2021 WAAMINI WAPYA 46 WABATIZWA

342 watched
0
9
Published 26 Sep 2021

Leo Septemba 26 2021 ikiwa ni Jumapili ya mwisho katika mwezi wa Injili ya Umisheni Parishi ya Shalom Temple tumebatiza waamini wapya 46 huku wanaume wakiwa 26 na wanawake 20, tunawaombea Mungu maisha mema ya Wokovu. KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 . ----------------------------------------------------------------- - FACEBOOK https://web.facebook.com/fpctshalomtemple ------------------------------------------------------------ - INSTAGRAM https://www.instagram.com/shalomtemplelive/ ---------------------------------------------------------- - WHATSAPP +255 757 92 96 69

Category

Show more

Comments - 2