Duration 20:10

Women Matters (Part 1): Mwanafunzi huyu ametembea na babu yake kwa miaka 6, ametoa MIMBA zake MBILI

7 101 watched
0
91
Published 7 Jul 2019

Lillian Mwasha amerejea tena kwenye #WomenMatters na awamu hii amejikita katika changamoto wanazopata watoto. Jopo lake linaundwa na Dr Eliud Esseko, Elizabeth Mleli, Sister Winnie na Babysky. Kwenye sehemu hii ya kwanza, wanazungumzia kisa cha mwanafunzi wa kike ambaye ametembea na babu yake kwa miaka 6 na ametoa mimba zake mbili

Category

Show more

Comments - 24