Duration 5:50

Vitumbua vya mchele | Jinsi yakupika vitumbua vya mchele vilaini sana | Vitumbua.

77 747 watched
0
786
Published 23 Nov 2020

#vitumbuavyamchele #vitumbua #mapishiyakiswahili Kwa wanaotaka vyuma vya vitumbua vipo kwa shuna kitchen nambari ya simu wasiliana naye ➡️+44 7984 393302 Shukran. Website:rukiaskitchen.com Instagram: rukias _kitchen Facebook: Rukias kitchen Cookpad: Rukias kitchen Mahitaji:- Mchele uliorowekwa vikombe 2 Sukari 3/4 kikombe Iliki kijiko nusu kidogo Hamira kijiko cha chakula Tui zito la nazi vikombe 2 Mafuta yakupikia Jinsi yakupika mkate wa mchele/wa kumimina/wa sinia na mambo yakuzingatia | Mkate wa sinia/mchele. ➡️ /watch/oDQfVjkUjfAUf Mkate wa sembe | Jinsi yakuoka mkate wa mayai wa sembe | Mkate wa mayai | Collaboration. ➡️ /watch/k20s_wC0kkC0s Mkate wa mayai | Jinsi yakupika mkate wa mayai mlaini sana na mambo yakuzingatia. ➡️ /watch/cYWVkTTVgE_VV Mkate wa mayai wa tambi | Jinsi yakupika mkate wa mayai wa tambi | Mapishi ya mkate wa mayai . ➡️ /watch/sHCDqFKFeY6FD Mkate wa tambi | Mapishi rahisi ya mkate wa tambi mtamu sana. ➡️ /watch/UOF3oUHCEn3C3 English recipe follow the link➡️ Mini coconut rice cakes | How to make soft mini rice cakes | Vitumbua recipe. /watch/IDByhrhgmU0gy For more swahili videos follow ➡️ /channel/UCa0DYCvTG7hF7D5g4YWMN-w

Category

Show more

Comments - 121