Duration 15:47

MSAFARA WA SIMBA BUKOBA BALAA WAFUNGA BARABARA/BODABODA WAFURIKA KUIPOKEA TIMU MPAKA HOTELINI

15 589 watched
0
90
Published 16 Dec 2021

🙌Hakika haya ni mapokezi ya kihistoria kuwahi kufanyika hapa mkoani Kagera. Leo disemba 16 Kikosi cha Simba Sports Club kimewasiki mkoani Kagera wilaya ya Bukoba Mjini ili kuwakabili Kagera Sugar siku ya jumamosi ya tarehe 18 mwezi huu. . Mpenja Tv ipo Mkoani Kagera kukuletea matukio yote yanayoendelea. . Fungua video hii uone msafara wa kikosicha Simba uliyopokelewa na waendesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda. . #simbasc #kagerasugar #Nbcpremeirleague #mpenjaTv

Category

Show more

Comments - 21