Duration 3:20

NMB BANCASSURANCE KARIAKOO

279 watched
0
3
Published 12 Jul 2021

Tunatoa pole kwa wafanyabiashara wote wa soko la Kariakoo kwa janga la moto lililowakumba. Tumeweza kufika eneo la tukio na kuwahikikisha wateja wetu waliokata Bima nasi kua wapo salama na utaratibu ushaanza kufanyiwa kazi. Kata Bima yako nasi dhidi ya majanga ili kuepuka gharama ambazo hukutarajia. Tembelea matawi yetu nchi nzima au wasiliana nasi kupitia 0800 002 002 kujua zaidi. #NMBBancassurance #Umebima

Category

Show more

Comments - 0