Duration 4200

KUVAA KIJORA NI USWAHILI

140 watched
0
0
Published 18 Feb 2021

Ushawahi kuvaa vazi aina ya kijora, Unadhani vazi hili ni la watu wa hadhi fulani na linalobeba nembo ya uswahili? Usikose kutazama Ina Who ya Plus TV na Ummy Licious & Salma Marshed leo kuanzia saa 7 kamili za mchana uweze kujua mambo mengi kuhusu vazi la kijora. Ni kupitia king'amuzi cha DStv channel namba 294. #InaWho #ZaidiNaZaidi

Category

Show more

Comments - 0