Matayarisho
Bamia 400g au kiasi cha kutosha
Viazi 5
Nyanya 4-5
Nyanya ya kusaga 1/2 kikombe
Vitunguu 2
Chumvi kijiko 1 cha chai
Pili pili manga 1/2 kijiko cha chai
Kitimiri (Coriander) kijiko 1 cha chai
Manjano ( tumeric) kijiko 1 cha chai
Mafuta kiasi
Unaweza kutia binzari au viungo vyovyote vingine unavyopendelea .
Muda wa kupika 30- 40 min
Category
Show more
Comments - 14
Related videos for Mapishi ya Bamia na Viazi Mviringo/Mbatata: