Duration 8:28

UKUTA WA YERIKO

503 watched
0
4
Published 19 May 2020

Kuna mambo ambayo unatakiwa kuyapata lakini uwepo wa ukuta katika maisha yako unakuzuia. Ukuta ni chochote kinachoweza kukuzuia kupata unachotakiwa kupata inaweza kuwa tabia,uchumi mbaya,magonjwa,marafiki,maoni ya watu,uchawi,fitina ,husda na ubaya wa aina yoyote unaweza kusimama kama ukuta katika maisha.

Category

Show more

Comments - 0