Duration 23:59

VITA KWA WALIOBEBA MAONO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

96 825 watched
0
1.1 K
Published 17 Sep 2021

Watu wengi wenye vita kubwa ni watu waliopakwa mafuta. Watu wengi wenye neno la Mungu, wenye maono ndiyo wengi wanao ongoza kuanza vitu na kuacha kwasababu vita inakua kali sana. Adui huwa anatumia nguvu kubwa sana kuwakandamiza watu ambao wametengwa na Mungu. Kuna aina ya upako ambao huwa unarudisha miaka iliyoliwa na nzige, upako ambao haijarishi nguvu za giza zimeharibu kwa kiwango gani! Kuna majira nguvu ya Mungu ikishuka juu ya huyo mtu, huyo mtu anageuzwa upya anakuwa na uwezo wa kufanya lolote. Ulivyosubiri sana imetosha sasa, kuna vitu inabidi uvipate wakati huu. Wakati UKIOKUBALIKA ni SASA.#PastorSunbella#Vita#Maono

Category

Show more

Comments - 158