Kampuni ya ubashiri ya Odibets leo imemfichua rasmi Charles Odongo almaarufu ‘ugali man’ kuwa balozi mkuu wa kampuni hiyo. Odongo alipata umaarufu katika mitandao ya kijamii baada ya video yake akila ugali kwa ustadi kusambaa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCsports #KenyaSports #Football