Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma.
[21-Juni-2021]
#KaziIendelee
#SSH
Category
Show more
Comments - 7
Related videos for MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE, IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA: