Duration 27:24

NDOTO YA KWELI YA KUCHINJWA MTOTO WA NABII IBRAHIM. SHEIKH SHARIIF ABDULQADIR

Published 20 Jul 2021

Khutba ya Eid ilitolewa na Shariif Abdulqadir leo Tarehe 20/7/2021 katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania , Mada ikielezea maisha ya Nabii Ibrahim na familia yake, ni maisha gani fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, na tuomba usambaze ujumbe huu na Inshaallah Allah atawalipeni .

Category

Show more

Comments - 0