Duration 7:46

WANANCHI UTARINGOLO WA HIMIZWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19

204 watched
0
0
Published 21 Dec 2021

NJOMBE Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Njombe Erasto Mpete amejitokeza kuchanja chanjo ya pili ya UVIKO 19 kuonesha chanjo hiyo ni salama kwa wananchi.

Category

Show more

Comments - 0