Duration 9:5

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU HASSAN MWAKINYO

15 345 watched
0
159
Published 8 Sep 2021

#Mwakinyo #Boxing Hassan mwakinyo ama unaweza kumuita Champez onetime ni Bingwa wa ABU uzito wa Super Welter na bondia namba moja barani Afrika.Kwa taarifa tu, super welter ni division ya wanamasumbwi wenye uzito wa kg 70..Kufikia siku ya leo, Taarifa kutoka BoxRec ambao ni mtandao maarufu kwa rekodi za mchezo wa ngumi duniani inaonyesha Hassan Mwakinyo amepanda kwenye viwango vya ubora duniani hadi nafasi ya 11 akiwa na nyota 4.Kwa sasa, ni mabondia 10 pekee duniani wa uzito wa Super Welter ambao wapo mbele ya Mwakinyo,kati ya hao 5 wana nyota 5 na katika orodha anayeongoza ni mmarekani Jermell Charlo. Kama ni mara yako ya kwanza kutazama Newzfid karibu sana,vile vile usisahau kulike video hii na kusubscribe, kwa kufanya hivyo utakuwa umeniunga mkono. Asante 0:00​ | Introduction 1:09​ | Historia ya Hassan Mwakinyo 1:48​ | Kaka yake Mwakinyo, Hamisi Mwakinyo 2:24 | Mwanzo wa safari katika Boxing 3:07 | Hassan Mwakinyo vs Anthony Jarmann 3:52 | Hassan Mwakinyo vs Sam Eggington 4:47​ | Pambano halikuwa lake? 5:38​ | Quote ya Mwakinyo 6:30 | Utofauti wake na Boxer wengine (Twaha kiduku,dulla mbabe nk) 7:15​ | Mechi alizopigwa Mwakinyo 8:05​ | Pambano la Mwakinyo vs Indongo FOLLOW US 📶 Instagram:https://www.instagram.com/newzfid/ Facebook: https://www.facebook.com/newzfidmagazine/

Category

Show more

Comments - 26