Duration 3:49

TASWIRA KIMATAIFA : Wahabeshi washiriki uchaguzi wa bunge, ECOWAS kuzindua sarafu ya pamoja

33 watched
0
1
Published 22 Jun 2021

Wapiga Kura Nchini Ethiopia Jumatatu Tarehe 21 Juni 2021 Wameshiriki Uchaguzi Wa Bunge Kuwachagua Wabunge Wa Kitaifa Na Vilevile Wa Maeneo Mbalimbali. Jumla Ya Watu Milioni 37 Walisajiliwa Kushiriki Uchaguzi Huo, Idadi Ambayo Ni Ndogo Mno Ikizingatiwa Kuwa Kuna Watu Milioni 110 Ethiopia. Kwingineko, Jumuiya Ya Uchumi Ya Magharibi Mwa Afrika ECOWAS imepasisha Ramani Mpya Ya Njia Ya Uzinduzi Wa Sarafu Moja Mwaka 2027, Baada Ya Mpango Wa Awali Wa Kuzindua Sarafu Hiyo Kuvurugwa Na Janga la korona. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #Ecowas #EthiopiaElections

Category

Show more

Comments - 2