Duration 1:49

Wafaransa warejea makwao vichwa chini

42 watched
0
1
Published 2 Jul 2021

Baada ya kutolewa michuano ya Euro 2020, Wafaransa wamerejea makwao huku wakionyesha kuhudhunishwa na matokeo mabaya waliyoyatapa dhidi ya Uswisi. Timu hiyo ilionekana maeneo ya uwanja wa ndege, huku wachezaji hao wakipakiwa katika magari tofauti tofauti. Taarifa ifuatayo inafafanua zaidi. -------------------------------------------------------------------------------------- TUFUATILIE KUPITIA: Website: https://www.2eyezmedia.com Facebook: https://www.facebook.com/2eyeztv Instagram: https://www.instagram.com/2eyeztv/ https://www.instagram.com/2eyezmedia/ https://www.instagram.com/2eyezradio/ Twitter: https://twitter.com/2eyeztv --------------------------------------------------------------------------------------

Category

Show more

Comments - 0