Duration 10:47

Wanavyuo toka makanisa wanachama CCT (USCF) na Shuleni (UKWATA) wahamasishwa kushiriki CCT DAY

Published 16 May 2021

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu CCT Bw. Godlistern Moshi amehamasisha Wanavyuo toka makanisa wanachama CCT walioko Vyuoni (USCF) na Wanafunzi walioko Shuleni (UKWATA) kushiriki maadhimisho ya CCT DAY ambayo Kilele chake ni Tar 30 Mei 2021. Amesisitiza Umuhimu wa sadaka itakayopatikana kwenye maadhimisho hayo ikiwa ni pamoja na kukuza nyumba za ibada (Chaplaincies) Changa katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Hivyo kila mwanachuo/Mwanafunzi anapaswa kushiriki kadri atakavyojaliwa na Mwenyezi Mungu

Category

Show more

Comments - 0