Duration 10:00

Ugonjwa Unaosababisha Watu Kuanguka Na Kuchapa Usingizi Barabarani.

by YIB
24 692 watched
0
1.8 K
Published 23 Oct 2019

Yaliomo ndani: Ni jambo zuri sana kujifnza kuhusu mambo yanayotuzunguka, utamu mara nyingi unakuja pale utakapo jifunza kitu ambacho haujawahi kukiona, tuamini sisi tunafahamu ladha yake, ikitokea umepelekwa Victoria falls iliyopo huko zimbabwe na ukashuhudia maajabu ya ulimwengu wetu, hata ukihadithia vip hakuna namna utaweza kulinganisha na vile ulivyoweza kushuhudia kwa macho yako mawili, kwani ukubwa wake hakuna mfano mwingine unaoweza kutumia ili ufananishe na sehemu hiyo, hizi hapa sehemu ambazo haujawai kuzifikilia kwamba zipo, lakini zipo na zinakusubiri wewe uweze kuzifahamu kupitia sisi, YIB, Enjoy.! YIB 2 :/channel/UC5tpm_O5aUJmlntgIChBd6A INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ SUBSCRIBE HAPA: https://bit.ly/2GMBiSB Check out other videos on the Channel: Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/kNo-MbpMI99M- Music: Leaving Home Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook

Category

Show more

Comments - 30
  • @
    @bkatricalstv27525 years ago Dah nimefrahi kweli asante sana yib kwa kutujuza ya ulimwengu. 3
  • @
    @am12ghh374 years ago This episode is very good we knew the world.
  • @
    @tamaraseff.97075 years ago Christooo. Uaguke tu ata kwa shimo ulale. Demons. 5
  • @
    @angeldikson32705 years ago Nipeni like jamani kama zote huwa nafarijika sana nikitzama matukio yakutisha. 3
  • @
    @rahmakhassani41485 years ago Nmependa iyo ya mto kuchemka naenda na sukari na majani najinywea chai. 3
  • @
    @saidsoud59674 years ago Kwaiyo ukitaka kuiba unaiba2 mtu akilala unamuibia. 3
  • @
    @michaeleustach93525 years ago Yib, davista mata, mtiga abdala, ananias ediga hawa ndio mastaa wa youtube wakiongozwa na youtube is by tisha xana. 3
  • @
    @soldiertz31315 years ago Hatarii ila mnavyoanza maelezo punguzeni mnatuchoxha. 5
  • @
    @allykutenga28625 years ago Hiyo ya mji wa2 kucnzia na mji wenye radi hizo ni kiboko. 2
  • @
    @sinatatizonamtu5 years ago Kaka mbona akauti za yib unazifungua sana? 2