Duration 6:26

Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Viumbe Vya Ajabu.

by YIB
11 058 watched
0
178
Published 23 Oct 2019

In This Video: Tarehe 11 mwezi wa 7 Mwaka 2019 Mtumiaji wa mtandao wa facebook asiyejulikana aliweza kupost Tukio ambalo aliliita” Vamia Area 51,Hawawezi kutusimamisha sisi sote” Tukio hilo aliandika nakuse a litatokea mwezi wa tisa tarehe 20 mwaka huu. Kilicho leta umaarufu mkubwa kwenye posti hii ni uwingi wa watu waliojitokeza kuunga mkono tukio hilo to na kuahidi kuhudhuria sehemu hiyo, takriban watu millioni moja mpaka sasa wameahidi kuwepo bila kukosa katika tukio hilo,na wanazidi kuongezeka! wakiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua Ndani ya eneo hilo kuna nini? Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ SUBSCRIBE HAPA: https://bit.ly/2GMBiSB Check out other videos on the Channel: Shimo Lililochimbwa Kuelekea Kuzimu.! /watch/ggMcSXjXkM7Xc Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T BG Music : Man Down Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly

Category

Show more

Tags

Comments - 6