Duration 16:32

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” | Wimbo wa Sifa

25 889 watched
0
370
Published 28 Oct 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” | Wimbo wa Sifa Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi? Miongoni mwa wanadamu, ni nani aishiye katika uchungu na ambaye amevumilia maelfu ya miaka ya upotovu wa Shetani, ambaye hatamani—hana hamu—ya kuwasili kwa Mungu? Je, ni waumini na wafuasi wangapi wa Mungu katika enzi zote, ambao chini ya ushawishi wa Shetani, wamevumilia taabu na dhiki, mateso na kutengwa? Ni nani asiyetumaini kuwa ufalme wa Mungu utakuja hivi karibuni? Baada ya kuonja furaha na masikitiko ya binadamu, ni nani kati ya wanadamu asiyetamani ukweli na haki vimiliki kati ya wanadamu? Ufalme wa Mungu utakapokuja, siku inayosubiriwa kwa hamu na mataifa na watu wote hatimaye itafika! Wakati huu, mandhari kati ya vitu vyote mbinguni na duniani yatakuwa yapi? Maisha katika ufalme yatakuwa mazuri kiasi gani? Zikiwa na “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani,” sala za milenia zitatimia! Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: http://bit.ly/2WHrvj2 App store: https://apple.co/2ZEE29d Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org Wasiliana Nasi: +254-700-427-192 Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Maudhui ya tovuti hii yametafsiriwa yote na wafasiri wataalam. Hata hivyo, kutokana na tofauti za lugha n.k., makosa kadhaa yaliyofanywa hayawezi kuepukika. Ukigundua makosa yoyote kama hayo, tafadhali rejea kwa toleo la kwanza la Kichina. Tafadhali jihisi huru kuwasiliana nasi. #kwaya #choir #Injili #swahiligospel #nyimbozainjili #nyimbozawokovu #nyimbozakabudu #nyimbompya #swahiligospelsong #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #ugandagospel #CongoGospel #KanisalaMwenyeziMungu

Category

Show more

Comments - 24