Duration 11:24

Afisa Elimu 'ALIVYOZIMIA' Baada ya RC MWANRI Kutumbua Mimi SIJALI Ukizimia

395 353 watched
0
1.2 K
Published 22 May 2019

Afisa Elimu 'ALIVYOZIMIA' Baada ya RC MWANRI Kutumbua "Mimi SIJALI Ukizimia" Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wanaosimamia mradi wa ujenzi wa shule... Miongoni mwa waliosimamishwa kazi kupisha uchunguzi ni pamoja na Afisa elimu wa shule hiyo ambaye baada ya kusimamishwa amejikuta akiishiwa nguvu na kupoteza fahamu ambapo alibebwa na kukimbizwa hospitali. #RCMWANRI Https://www.youtube.com/watch/N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 175