Duration 5700

UJANE UNAPOKUFIKA UUPOKEE by Neema Mwakabonga

145 watched
0
3
Published 3 Aug 2020

Point ya Muhimu ambayo ningependa Mjane aipokee ni kwamba Ujane unapo kufika uupokee na pili ukubali kufarijika na tatu unaweza ukajikwamua kutoka kwenye ujane na ukasimama tena ukawa mwanamke mwenye heshima na kuweza kuwainua watu wengine. By Neema mwakabonga

Category

Show more

Comments - 1