Duration 2:58

SHABIKI WA YANGA ALIYEINGIA KUITAZAMA SIMBA AIKOSOA SIJAONA PIRA BIRIANI

24 189 watched
0
171
Published 28 Nov 2021

Simba SC leo wamepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kuwania kucheza Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo huo wa mkondo wa kwanza umechezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 27