Je mtazamaji, wafu huwa na mvuto upi katika maisha ya siku kwa siku ya wale walio hai? Ni swali linaloulizwa na baadhi ya watu katika kaunti ya bungoma baada ya wenyeji wa kijiji kimoja kufika mahakamani, na kupata idhini ya kuufukua mwili wa mmoja wao, waliyedai kuwa alikuwa akiwasumbua kwenye ndoto. Yadaiwa amekuwa akiomba kuzikwa mahala pengine.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya
Category
Show more
Comments - 128
@
@theenjeri2 years agoSpirits never die. Thats why we pray to let the body rest in peace. 6
@
@nusaibahassan58426 years agoForever you will remain in our heart' s ahmed dharwesh. 13
@
@leyasalma3545 years agoMiss u darweesh mungu ailaze roho yako peponi ameen. 9
@
@mercyomukunde9305last yearI miss darwesh. May his heart continue resting in peace.
@
@anapaschal55912 years agoMungu ni mwema hadi maiti zinaongeasana. 1
@
@sariysariy62936 years agoDarwish we miss may ur soul rest in peace may allah grant u jannahtul firdos ameen. 9
@
@johnmasinde18753 years agoIt' s called a familiar spirit. It manifests through a dream using same voice & appearance of the deceased. 4
@
@alisaalis92187 years agoDarwesh tulikupenda lkn mungu alikupenda zaidi upumxike kwa amani. 10
@
@amaninaupendo.35396 years agoAmen. Wapendwa wa mungu mgeukieni mungu ndiyo mweza wa yote. 2
@
@alikiba99607 years agoAllah akujaalie pepo ya juu ahmed darwesh amin. 2
@
@abdihussein822last yearInnalillahi wainna ileyi rajiuun, may allah grant you jannatul firdaus, ahmed dharwesh.
@
@margaretnamubi45654 months agoLuhyas drama. Never end. Hesabu ya watu walio muua.
@
@gandiwehu5818last yearDarwesh was a legend. inna lillahi wa' inna illeyhi rajyun.
@
@peninahgathari48795 years agoLakini jamani, si hizi gari za polisi hubeba vitu mingi. 3
@
@doreenmnyitte40254 years agoYes lazima angefufuliwa kila watu wafwate kimila yao kabisaa. 1
@
@manganamanganamanganamanga73135 years agoNinyi niwajinga sana unajua mukihusisha vifo na mambomemgi hamutaishi vzr hapo. 2
@
@mamymdogomamy36705 years agoJamani mila zitaisha lini ndugu yaa allah tunusuru ss waja wako. 4
@
@annestanciamachome41515 years agoDuh! Nimeshangaa sana jaman binadam kufukuliwa.
@
@firdausabdullah63156 years agoKenya vituko havitaisha maisha yazidi kupanda. 1
@
@mpwapwanewstv82045 years agoMhh hiyo asee mtu akifa anaweza kufufuka tena bt kwa utamaduni inaeezekana.
@
@bendettamumbua41672 years agoWololo! These are the shaking day' s. Yaani maiti inaongea? Tena roho inaamlisha mwili uzikwe kwingine.
@
@millicentouma23244 years agoWaluyia please, know god. The dead never come back, but the devil comes in dreams with the face of that dead person. 5
@
@beverlinekilwaye99547 years agoMtu akifa amekufa hayo ni mapepo jameni. 16
@
@nelsonmandela46402 years agoMtu aniconect nipate ploti uko siloba!
@
@evederrick67432 years agoAkuna mazinga ubwe apo, they spirit of that son is still around why the killed innocent soul.
@
@nissispuppies59902 years agoThey accused someone falsely until the murderer confessed 6 yes later. He was killed by masten wanjala n et someone else is serving a life sentence. Sad.
@
@benazirfred5194 years agoRip darwesh haki sijaahi amini uliaga dunia. Maiti kuongea n. A. Mapepo. 1
@
@daianammbone69222 years agoWatu wakombolewe watoke kwa mila, kwani maiti ina uwezo wa kuongoza jamii.
@
@pamelajuma12398 years agoHayo ya ndoto nikweli marehemu aongea throu ndoto anavio taka. 4
@
@mafurufilipo83585 years agoTusizungumzie kuhusu uchawi pekeyaket bali tukumbuke kuwa kila nafs itaonja maut. 1
Related videos for Maiti yazungumza na mkaaji wa Kaunti ya Bungoma:
inna lillahi wa' inna illeyhi rajyun.