Duration 10:13

Sehemu Yennye Nguvu za AJABU Inayofanya Watu Wanaelea Hewani.

by YIB
106 262 watched
0
3.3 K
Published 9 Jan 2020

In this Video: Dunia yetu kama tunavyoijua ina ukubwa usio na kifani, watafiti na wataalam wengi wanajitahidi kuzunguka kila sehemu ili kugundua kuna kitu gani kipya ambacho bado hakija julikana, Ubaya ni kwamba sehemu nyingine ni ngumu sana kuzifikia kutokana na changamoto za kila siku, kwahyo hubaki kama zilivyo mpaka hapo siku moja njia ya kuweza kufikia sehemu hizo itakapo patikana. Hili ni eneo ambalo liligunduliwa miaka ya nyuma sana lakini maajabu yake yaliishia kushangaza ulimwengu huu. Lakini kabla haujashangaa na sis unaweza ukashangaa simu yako imeisha bando, kwahyo ni bora u like video hii ili uepushe baata mbaya kwa muda wa miaka 9 mfululizo.! Enjoy.! Credit Video: /watch/8fn7F_Co5qZo7 Sources: http://www.oregonvortex.com/ https://en.wikipedia.org/wiki/Oregon_Vortex https://oregonencyclopedia.org/articles/oregon_vortex_house_of_mystery_/ https://thatoregonlife.com/2016/06/oregon-vortex-one-strangest-places-earth/ INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/kNo-MbpMI99M- BG Music: Intrepid Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook

Category

Show more

Comments - 53
  • @
    @angeldikson32704 years ago Jamani me hata sielewi hamnipagi coment. 13
  • @
    @naitwachilipo8924 years ago Nadhani ni miujiza tu ya mwenyezi mungu, kama ilivyo kwa ngorongoro (chemchem) za maji yanayo chemka . 4
  • @
    @sharifamfaume93424 years ago Kazi nzuri kaka mungu akuweke, tim wifi usiwaze kuhusu bando. 16
  • @
    @tttooo1564 years ago Et kabla hujashangaa na sisi unawez shangaa simu yako imeisha bando mbavu zangu mie. 13
  • @
    @komboarts71104 years ago Yib ni moja ya online tv tunazohitaji kuwa nazo kabisa kwa elimu mbalimbali na si kuzungumza umbea tu, mko wapi tunawapataje? 2
  • @
    @erickmack25344 years ago Me nadhani ni madini flani yapo chini ya eneo hilo yananguvu zinazo sababisha vitu kupanda badala ya kushuka. 5
  • @
    @geraldrenatus29964 years ago Hapo kikubwa n maombi ya kubomoa nguvu za giza. 3
  • @
    @ursulamkuele18904 years ago Mi nadhani huko ndiko tunakoenda tukifa. 1
  • @
    @geresonochieng70984 years ago Ndio maana binadam kwakuwa hawaamini iliwajuwe kunamungu tu. 2
  • @
    @asiamusilimohammed16014 years ago Kuna viumbe wanaoendana na mfumo wa hiyo sehemu wanaishi. 1
  • @
    @micamathew25954 years ago Tumwachie tu mungu ila tusikome kuomba.
  • @
    @christiangodfrey88844 years ago Nimakaz ya aliens. Yani nimakazi. Ni mji huo wa watu. 2
  • @
    @salujuma68734 years ago Yib tunawapenda tena sana lakini tumechoka na vidio hizi kila siku hakuna nyengine? 2
  • @
    @fadhilkadadi37374 years ago Vip yib hamna group la whatsapp ili mniunganishe? 5
  • @
    @fredrickmassare67824 years ago Mwendelezo was story ya medusa umeishia wapi? Broo. 3